Mikopo Ya Mwenye Nyumba (Home Owner Financing Or Seller Financing Or Purchase-money Mortgage)

Maana Ya Mikopo Ya Mwenye Nyumba Haya ni makubaliano kati ya mnunuzi na muuzaji wa nyumba ambapo mwenye nyumba hutoa mtaji fedha badala ya taasisi za mikopo. Mnunuzi ambaye hukopa nyumba mara nyingi anakuwa hana sifa za kupewa mikopo kutoka katika taasisi za mikopo. Aina hii ya mikopo inakuwa na kiasi kidogo cha ada ya… Continue reading Mikopo Ya Mwenye Nyumba (Home Owner Financing Or Seller Financing Or Purchase-money Mortgage)

KOCHA 12; Mambo Kumi (10) Tuliyojifunza Katika Semina Ya JUNI 2021

Tangu tarehe 06-juni hadi 12- Juni nilitoa mafunzo katika kundi maalum la mafunzo. Katika semina hiyo niliwafundisha watu NJIA 70 ZA KUTENGENEZA PESA KATIKA ARDHI NA NYUMBA. Kama ulikosa mafunzo haya, tafadhali nunua kitabu kiitwacho NJIA 120 ZA KUTENGENEZA PESA KATIKA ARDHI NA NYUMBA. Hiki ni kitabu bora kabisa ambacho ninakuahidi kuwa hutajuta. Mpaka sasa… Continue reading KOCHA 12; Mambo Kumi (10) Tuliyojifunza Katika Semina Ya JUNI 2021

Published
Categorized as USHAURI

KITABU 1; Funguo 21 Za Mafanikio Katika Uwekezaji Katika Ardhi Na Nyumba Na Ken McElroy

Utangulizi Wa Uchambuzi Wa Kitabu. Ken Mcelroy amepata mafanikio makubwa katika miaka ishirini iliyopita kutoka sasa. Ken amepata mafanikio zaidi katika maeneo mawili ya uwekezaji katika ardhi na majengo. Moja ni uchambuzi wa uwekezaji (Investment analysis) na usimamizi wa majengo (Property Management). Ni mchangiaji wa kudumu katika radio ya Kampuni ya Rich Dad. Ken mshauri… Continue reading KITABU 1; Funguo 21 Za Mafanikio Katika Uwekezaji Katika Ardhi Na Nyumba Na Ken McElroy

Mambo Saba (07) Ya Kuyazingatia Kabla Hujamiliki Nyumba Ya Kupangisha

Katika nyumba za kupangisha kuna makundi mawili makuu. Nayo ni nyumba za familia (Family rental houses) na nyumba za biashara (Commercial properties). Katika makala hii, nimetumia nyumba za familia moja kukueleza mambo haya saba. Nyumba za familia moja ni aina ya nyumba ambazo hukaliwa na familia moja. Nyumba za familia moja huwa na paa moja… Continue reading Mambo Saba (07) Ya Kuyazingatia Kabla Hujamiliki Nyumba Ya Kupangisha

Maswali Matano (05) Muhimu Kuhusu Nyumba Za Kupangisha

1. Je Nyumba za familia zina soko kubwa ukilinganisha na nyumba za biashara? JIBU; Ndio. Nyumba za kupangisha za familia zina soko kubwa. Hii ni kwa sababu idadi ya karibu watu milioni sitini wa kitanzania hutegemea nyumba za familia. Zinaweza kuwa nyumba zao au za kupanga. Hii inapelekea uwe na nafasi kubwa ya kupata wanunuzi,… Continue reading Maswali Matano (05) Muhimu Kuhusu Nyumba Za Kupangisha

Published
Categorized as MAJENGO

Hatua Hii Haitakiwi Kuiruka Endapo Unataka Mafanikio.

Rafiki yangu, moja ya kitu ambacho kinatajwa na wengi kuwa ni kikwazo kuanza kuwekeza katika ardhi na nyumba ni mtaji fedha. Lakini ukweli ni kuwa mtaji wa mawazo na kukosa maamuzi ni vitu viwili ambavyo vinawazuia wengi kuanza kuwekeza katika ardhi na nyumba. Wengi hawaelewi jinsi ya kunufaika na uwekezaji huu. Wengi wanafahamu njia chache… Continue reading Hatua Hii Haitakiwi Kuiruka Endapo Unataka Mafanikio.

Jinsi Ya Kukarabati Nyumba Kwa Manufaa Ya Kifedha

Vitu Muhimu Vya Kuzingatia Katika Ukarabati Wa Nyumba. ✓ Unatakiwa kumaliza kukadiria gharama za ukarabati kabla ya kununua nyumba.✓ Usikadirie gharama za ukarabati wa nyumba baada ya kununua nyumba ya kuwekeza.✓ Muda wa kukadiria gharama za ukarabati ni siku 30 hadi siku 45. Timu Yako Ya Kukadiria Gharama Za Ukarabati Wa Nyumba Ni Kama Ifuatavyo;-… Continue reading Jinsi Ya Kukarabati Nyumba Kwa Manufaa Ya Kifedha

Published
Categorized as MAJENGO

Jinsi Ya Kuongeza Kodi Kwa Kukarabati Nyumba Yako.

Vitu Muhimu Vya Kuzingatia Katika Ukarabati Wa Nyumba. ✓ Unatakiwa kumaliza kukadiria gharama za ukarabati kabla ya kununua nyumba.✓ Usikadirie gharama za ukarabati wa nyumba baada ya kununua nyumba ya kuwekeza.✓ Muda wa kukadiria gharama za ukarabati ni siku 30 hadi siku 45. SOMA; Programu Ya Mwezi Septemba 02, 2018: Njia 60 Za Kutengeneza Pesa… Continue reading Jinsi Ya Kuongeza Kodi Kwa Kukarabati Nyumba Yako.

Published
Categorized as MAJENGO

Mbinu Ya Kutengeneza Kipato Cha Kudumu Katika Nyumba Za Kupangisha

Kirefu cha mbinu hii ni nunua (Buy), Karabati (Renovate), Pangisha (Rent), Pata mtaji (Refinance) na rudia (Repeat) hatua nne za hapo juu. Mbinu hii ina hatua kuu tano (05) kama nilivyoorodhesha hapo juu. Mbinu hii ni mtoto wa mbinu ya kumiliki majengo na kupangisha majengo hayo (holding and renting properties). SOMA; #MWEKEZAJI 29: Mambo Manne… Continue reading Mbinu Ya Kutengeneza Kipato Cha Kudumu Katika Nyumba Za Kupangisha

Published
Categorized as MAJENGO